WELLCOME TO MY BLOG

Saturday, 3 June 2017

RONALDO SI WAMCHEZO MCHEZO AFIKISHA JUMLA YA MAGOLI 600.ACHUKUA KIATU CHA DHAHABU KWA MARA YA TATU MFULULIZO

katika Hali isiyo ya kawaida mshabuliaji wa timu ya taifa ya Ureno ameweza kufikisha jumla ya magoli mia sita katika michuano yote aliyowah kucheza katika mchezo wafainali wa UEFA Champions League uliomalizika usiku huu wa tarehe 3, Ronaldo ameweza kufunga magoli 2( mawili) na hivyo kufikisha jumla ya magoli 12 katika msimu huu wa UEFA Champions League. Hivyo Ronaldo kachukua kiatu cha dhahabu kwa kumpita  mpinzan wake Lionel  messi aliekuwa na jumla ya Magoli 11 msimu huu.

No comments:

Post a Comment