WELLCOME TO MY BLOG

Sunday, 18 June 2017

AJINSI YA KUIFANYA COMPUTER YAKO IWE FASTER.

AJINSI YA  KUIFANYA COMPUTER YAKO IWE FASTER.
habari za leo wanakwetu.
Leo nimeona nishare nanyi somi hili dogo. Watu wengi wamekuwa wakitumia computer na kujikuta ikiwa slow sana hadi hawaoni raha ya kutumia computer hizo. Leo ntakupa suluhisho.
Zipo sababu nyingi zinazoweza kupelekea computer kuwa slow.
Chache kati ya nyingi ni.
1. Udogo wa RAM
2. Udogo wa Processor
3. Kurun program nying kwa pamoja
4. Kuinstall program nyingi kwenye PC
5. Temporary files
JINSI YA KUTATUA TATIZO HILO.
1.bonyeza windows button+R (kwa pamoja) then andika %temp% then bonyeza ENTER
Yatakuja mafile na mafolder mengi bonyeza CTRL+A then Bonyeza delete(del)
2. bonyeza windows button+R (kwa pamoja) then andika temp then bonyeza ENTER
Yatakuja mafile na mafolder mengi bonyeza CTRL+A then Bonyeza delete(del)
3. Nenda kweny my computer then local disk C then right click then chagua properties, then disk cleanup then iache icalculate. kitafunguka kipage kidogo weka tick upande wa kushoto then bonyeza ok. Itakuuliza are you sure you want to delete? Click yes then iache icalculate mpaka imalize then funga.
4. Nenda kweny my computer then properties then advanced setting then advanced then setting (ya kwanza) then Aadvanced then change then utaona tick hapo kwenye automatically..... Toa hiyo tick then shuka chini kweny custom then kwenye initial weka ukubwa wa ram yako mfano RAM yako ni 2 GB ichukue hiyo zidisha na 1024. (Hii inamaana GB1 ni MB1024) jibu utakalopata jaza hapo.
Then kwenye maximum chukua jibu ulilopatahapo juu lizidishe mara 2 then jaza hapo.(hapa unachokifanya ni kuifanya RAM yako itumike yote) Then bonyeza SET Then  bonyeza apply then ok. Itakuomba kurestat. Accept then bonyeza ok itazima itawaka tena.[kama hujui jinsi ya kuipata RAM yako nenda kwenye my computer then properties then angalia sehem wameandika RANDOM ACCESS MEMORY(RAM) utaweza kuiona]
5. Epuka kujaza program nyingi ambazo huzitumii. Unistall program ambazo hazina kazi.
ASANTE SANA
*_>>>MWISHO<<<_*

##kwa tricks mbalimbali za computer tembelea mjuzishule.tech
PIA download app yangu playstore inaitwa OBBY MJUZI
*IMEANDALIWA NA*
*obby mjuzi©2017*
obbymjuzi@gmail.com
*WATU MAKINI*
👆🏼
*NITAPENDA KAMA UTASHARE JINSI ILIVYO*

Tuesday, 6 June 2017

JINSI YA KUTUMIA CODE YA NAMBA NGENI (USA) KWENYE WHATSAPP YAKO

Kutokana na maswali mengi sana leo hii nimewaletea Lecture hii ambayo inaelekeza jinsi ya kutumia namba za nje hasa namba ya USA kwenye whatsapp ili kusoma zaidi kwa lugha ya picha tafadhali bonyeza link hiyo hapo chini _USISAHAU KUSHARE KWA MARAFIKI ILI NAO WAWEZE KUWA NA UJANJA KAMA HUU_                                                                                                                                                                                                 http://mbindatechnologiestz1.blogspot.com/2017/03/whatsapp-trick-3-jinsi-ya-kutumia-namba.html

MAGUFULII ATOA SABABU ZA KUMTEUA ANNA MGWIRA




Dar es Salaam. Rais John Magufuli ameeleza sababu ya kumteua Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro huku akimhimiza akachape kazi.

Rais Magufuli ametaja sababu hiyo wakati wa hafla ya kumwapisha Mghwira iliyofanyika leo, Jumanne jijini hapa na kuhudhuriwa na  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

“Mimi huwa siteui watu hivi hivi, huwa naangalia uwezo wa mtu na wewe nimekuchunguza na nimejiridhisha kuwa una uwezo wa kuwatumikia wananchi, nenda kachape kazi, kawaondolee kero wananchi wa Kilimanjaro,”amesema Rais Magufuli na kuongeza;

“Wapo watu watakaokusema na wengine watakuonea wivu, wewe kachape kazi.”

Rais Magufuli amemhakikishia kuwa atapata ushirikiano wa kutosha wakati wote wa utekelezaji wa majukumu yake na asikubali kuyumbishwa na mtu yeyote katika majukumu yake.

Mghwira amejaza nafasi iliyoachwa wazi na Saidi Meck Sadiki aliyekuwa mkuu wa mkoa huo.

Kwa upande, Mghwira amemshukuru Rais Magufuli kwa kumuamini na kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na amemuahidi kuwa yupo tayari kwenda kufanya kazi ya kuwatumikia wananchi na kujenga Taifa.

“Ninasema hii ni heshima kwa Taifa letu, ni heshima kwa umoja wa nchi yetu, ni heshima kwa siasa za umoja wa nchi yetu, kumekuwa na minong’ono mingi sana kuwa Rais analeta nini, kuteua watu wanaitwa wapinzani, mimi sio mpinzani wa maendeleo,” amesema Mghwira.

Monday, 5 June 2017

LOWASSA AONGEA MANENO MAZITO MSIBANI

EWaziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa kamati kuu CHADEMA, Mh. Edward Lowassa amempongeza muasisi wa Chama hicho Mzee Mtei kwa kukutana na Mzee Ndesamburo na kutengeneza chama imara, huku akitoa ahadi ya chama hicho kuongoza mwaka 2020.

Akizungumzaa kwenye ibada ya kuuaga mwili wa Mzee Ndesamburo, Mh. Lowassa amesema kwamba  waasisi hao wameacha  chama chenye nguvu sana na ambacho kinafanya nzuri na kwa weledi.

"Nakupongeza Mzee Mtei kwa kukutana na Ndsamburo. Nakupongeza wewe zaidi kwa sababu umetuachia chama chenye nguvu. Pale nilikuwa namnong'oneza Mzee Mtei kwamba mwaka 2020 tutachukua ushindi,pamoja na jitihada zao mungu atatuongoza na tutaweza" - Mh. Edward Lowassa.
Akizungumzia kuhusu suala la polisi kuzuia eneo la uwanja wa Mashujaa kutumika kumuaga Mzee Ndesamburo, Mh Lowassa amefunguka kuwafariji wafiwa, wanachama na wananchi kwa kuwataka wasamehe yaliyotokea.

"Wamewakatalia uwanja wa Mashujaa lakini hapa kwenye uwanja wa majengo ndo pamejaa zaidi.Tuwasamehe bure au tuwaachie maneno ya biblia kwamba , Waacheni wafu wazike wafu wao maana hupimi watu kwa uwanja kujaa bali kwa mioyo yao na waliopo hapa ni wale waliompenda na kumuheshimu Mzee wetu" - Mh. Lowassa alifunguka.e

Saturday, 3 June 2017

RONALDO SI WAMCHEZO MCHEZO AFIKISHA JUMLA YA MAGOLI 600.ACHUKUA KIATU CHA DHAHABU KWA MARA YA TATU MFULULIZO

katika Hali isiyo ya kawaida mshabuliaji wa timu ya taifa ya Ureno ameweza kufikisha jumla ya magoli mia sita katika michuano yote aliyowah kucheza katika mchezo wafainali wa UEFA Champions League uliomalizika usiku huu wa tarehe 3, Ronaldo ameweza kufunga magoli 2( mawili) na hivyo kufikisha jumla ya magoli 12 katika msimu huu wa UEFA Champions League. Hivyo Ronaldo kachukua kiatu cha dhahabu kwa kumpita  mpinzan wake Lionel  messi aliekuwa na jumla ya Magoli 11 msimu huu.

Friday, 2 June 2017

CHELSEA KUMNASA KIUNGO WA MONACO

Timu ya Soka ya Chelsea wapo katika mazungumzo na Kiungo wa Monaco Tiemoue' Bakayoko,wakimchukua itakuwa njia rahisi kwa Nemanja Matic kutimkia Manchester united
.

Thursday, 1 June 2017

Cristiano Ronaldo: Every single record held by the Real Madrid superstar

Cristiano Ronaldo: Every single record held by the Real Madrid superstar

Record-breaker, history-maker and then some - the story of Cristiano Ronaldo.

Cristiano Ronaldo
Cristiano Ronaldo: a goalscorer par excellence!
Cristiano Ronaldo – the name is synonymous with breaking records whether that be with his on-field awesomeness or his off-field popularity. The Real Madrid superstar scored a sensational hat-trick in the semi-final of the UEFA Champions League against bitter rivals Atletico Madrid, to help his team qualify for their second successive final of the coveted competition.
Ronaldo is a once in a lifetime player and a goal scorer par excellence, to the point, where he can authoritatively be termed as the Greatest Goalscorer in modern football, if not in the history of football.
Yes, detractors might point the finger at a certain Argentine who plies his trade in and for Barcelona, but in regards to pure goalscoring threat and consistency, there is no one quite at Ronaldo’s level. There is another question of who is the better footballer out of the two but that is something we will touch at a later point in time. For now, just enjoy the Ronaldo show, while you still can.
And with that, we present to you a summary of all th

BAADA YA KIPIGO CHA BAO 2-1 KUTOKA KWA ARSENAL,CHELSEA YAJA NA MBINU HIZI

chelsea imesisitiza kuwa itawafunga mahasimu wao wa jiji la Rondon katika kombe la ngao ya hisan mchezo utakao chezwa msimu wa joto 

SIMBA KUWATEMA WACHEZAJI WA KIMATAIFA

Tetesi za usajili:mastaa wa simba wapo mbioni kutemwa baada ya kuonekana kutokufanya vizuri katika msimu ulio maslizika mwez uliopita.hayo yapo dhahili kulingana na wachezaj hao kuonekana kuzidiwa uwezo na wazawa kitu ambacho kinaonekana kutokuleta changamoto kwa wachezaji wa ndani.